\p \v=31 \v~=Kisha ukatokea upepo kutoka kwa \nd Bwana\nd*, nao ukawaletea kware kutoka baharini. Ukawaangusha kwenye eneo lote linalozunguka kambi na kujaa ardhini kimo cha mita moja hivi kutoka ardhini kwenye eneo la umbali wa mwendo wa siku moja kila upande. \¬v