\v=32 \v~=Mchana kutwa na usiku kucha pamoja na siku nzima iliyofuata watu walitoka kwenda kuokota kware. Hakuna mtu yeyote aliyekusanya chini ya homeri kumi.\f + \fr 11:32 \ft Homeri 10 ni sawa na kilo 1,000.\f* Kisha wakazianika kuzunguka kambi yote. \¬v