\v=33 \v~=Lakini walipokuwa wakila nyama, ilipokuwa ingali kati ya meno yao na kabla hawajamaliza kula, hasira ya \nd Bwana\nd* ikawaka dhidi ya watu, naye akawapiga kwa tauni. \¬v