\p \v=4 \v~=Ghafula \nd Bwana\nd* akawaambia Mose, Aroni na Miriamu, “Njooni katika Hema la Kukutania, ninyi nyote watatu.” Kwa hiyo wote watatu wakaenda. \¬v