\p \v=10 \v~=Lakini kusanyiko lote likazungumza juu ya kuwapiga kwa mawe. Ndipo utukufu wa \nd Bwana\nd* ukaonekana katika Hema la Kukutania kwa Waisraeli wote. \¬v