\p \v=13 \v~=Mose akamwambia \nd Bwana\nd*, “Ndipo Wamisri watasikia juu ya jambo hili! Kwa uweza wako uliwapandisha watu hawa kutoka miongoni mwao. \¬v