\v=14 \v~=Nao watawaambia wenyeji wa nchi hii jambo hili. Wao tayari wameshasikia kwamba wewe, Ee \nd Bwana\nd*, upo pamoja na watu hawa, na kuwa wewe, Ee \nd Bwana\nd*, umeonekana uso kwa uso, nalo wingu lako hukaa juu yao. Tena wewe unawatangulia kwa nguzo ya wingu mchana na kwa nguzo ya moto usiku. \¬v