\v=40 \v~=Mapema asubuhi siku iliyofuata walipanda juu kuelekea kwenye nchi ya vilima virefu, wakasema, “Tumetenda dhambi. Tutakwea mpaka mahali \nd Bwana\nd* alipotuahidi.” \¬v \¬p