\p \v=41 \v~=Lakini Mose akasema, “Kwa nini hamtii amri ya \nd Bwana\nd*? Jambo hili halitafanikiwa! \¬v