\v=8 \v~=Ikiwa \nd Bwana\nd* anapendezwa nasi, atatuongoza kuingia katika nchi ile, nchi itiririkayo maziwa na asali, naye atatupa nchi hiyo. \¬v