\v=9 \v~=Ila tu msimwasi \nd Bwana\nd*. Wala msiwaogope watu wa nchi hiyo, kwa sababu tutawameza. Ulinzi wao umeondoka, lakini \nd Bwana\nd* yupo pamoja nasi. Msiwaogope.” \¬v \¬p