\v=14 \v~=Kwa vizazi vijavyo, wakati wowote mgeni au mtu mwingine yeyote anayeishi miongoni mwenu aletapo sadaka ya kuteketezwa kuwa harufu nzuri ya kumpendeza \nd Bwana\nd*, ni lazima afanye sawasawa kabisa na jinsi mnavyofanya ninyi. \¬v