\v=21 \v~=Kwa vizazi vyote vijavyo hamna budi kutoa sadaka hii kwa \nd Bwana\nd* kutoka kwa malimbuko ya unga wenu. \¬v \¬p