\v=25 \v~=Kuhani atafanya upatanisho kwa ajili ya jumuiya yote ya Kiisraeli, nao watasamehewa, kwa kuwa haikuwa makusudi nao wamemletea \nd Bwana\nd* sadaka iliyoteketezwa kwa moto na sadaka ya dhambi kwa ajili ya kosa lao. \¬v