\p \v=30 \v~=“ ‘Lakini yeyote ambaye amefanya dhambi kwa dharau awe mzawa au mgeni, anamkufuru \nd Bwana\nd*, naye mtu huyo ni lazima akatiliwe mbali na watu wake. \¬v