\v=39 \v~=Mtakuwa mkivitazama vifundo hivyo ili mpate kukumbuka amri zote za \nd Bwana\nd*, ili mpate kuzitii msije mkajitia uzinzi wenyewe kwa kuzifuata tamaa za mioyo yenu na za macho yenu. \¬v