\v=4 \v~=ndipo yeye aletaye sadaka yake ataiweka mbele za \nd Bwana\nd* sadaka ya nafaka, sehemu ya kumi ya efa\f + \fr 15:4 \ft Sehemu ya kumi ya efa ni sawa na kilo moja.\f* ya unga laini uliochanganywa na robo ya hini\f + \fr 15:4 \ft Robo ya hini ni sawa na lita moja.\f* ya mafuta. \¬v