\p \v=6 \v~=“ ‘Pamoja na kondoo dume andaa sadaka ya nafaka ya sehemu mbili za kumi za efa\f + \fr 15:6 \ft Sehemu mbili za kumi za efa ni sawa na kilo 2.\f* za unga laini uliochanganywa na theluthi moja\f + \fr 15:6 \ft Theluthi moja ya hini ni sawa na lita moja na nusu.\f* ya hini ya mafuta, \¬v