\v=9 \v~=leta pamoja na huyo fahali sadaka ya nafaka ya unga laini sehemu tatu za kumi za efa\f + \fr 15:9 \ft Sehemu tatu za kumi za efa ni sawa na kilo 3.\f* uliochanganywa na nusu ya hini\f + \fr 15:9 \ft Nusu ya hini ni sawa na lita 2.\f* ya mafuta. \¬v