\v=11 \v~=Wewe na wafuasi wako wote mmekusanyika pamoja kinyume cha \nd Bwana\nd*. Aroni ni nani kwamba ninyi mnungʼunike dhidi yake?” \¬v \¬p