\p \v=15 \v~=Ndipo Mose akakasirika sana na kumwambia \nd Bwana\nd*, “Usiikubali sadaka yao. Mimi sikuchukua chochote, hata punda kutoka kwao, wala sijamkosea hata mmoja wao.” \¬v \¬p