\p \v=16 \v~=Mose akamwambia Kora, “Wewe na wafuasi wako wote kesho mtatokea mbele za \nd Bwana\nd*: yaani wewe na hao wenzako, pamoja na Aroni. \¬v