\v=17 \v~=Kila mtu atachukua chetezo chake na kuweka uvumba ndani yake, vyetezo 250 kwa jumla, na kukileta mbele za \nd Bwana\nd*. Wewe na Aroni mtaleta vyetezo vyenu pia.” \¬v