\v=19 \v~=Kora alipokuwa amekusanya wafuasi wake wote kuwapinga Mose na Aroni kwenye mlango wa Hema la Kukutania, utukufu wa \nd Bwana\nd* ukatokea kwa kusanyiko lote. \¬v