\p \v=28 \v~=Ndipo Mose akasema, “Hivi ndivyo mtakavyojua kuwa \nd Bwana\nd* amenituma kufanya mambo haya, na kwamba halikuwa wazo langu. \¬v