\v=3 \v~=Wakaja kama kikundi kuwapinga Mose na Aroni, wakawaambia, “Ninyi mmejitukuza sana! Kusanyiko hili lote ni takatifu, kila mmoja wao, naye \nd Bwana\nd* yu pamoja nao. Kwa nini basi mmejitukuza wenyewe juu ya kusanyiko la \nd Bwana\nd*?” \¬v \¬p