\v=30 \v~=Lakini ikiwa \nd Bwana\nd* ataleta jambo jipya kabisa, ardhi ikifunua kinywa chake na kuwameza wao, pamoja na kila kitu kilicho mali yao, nao washuke chini kaburini\f + \fr 16:30 \ft Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol.\f* wakiwa hai, ndipo mtafahamu kuwa watu hawa wamemdharau \nd Bwana\nd*.” \¬v \¬p