\p \v=35 \v~=Moto ukaja kutoka kwa \nd Bwana\nd*, ukawateketeza wale watu 250 waliokuwa wakifukiza uvumba. \¬v \¬p