\v=40 \v~=kama vile \nd Bwana\nd* alivyomwelekeza kupitia Mose. Hili lilikuwa kuwakumbusha Waisraeli kwamba hakuna mtu hata mmoja, isipokuwa mzao wa Aroni, awezaye kuja kufukiza uvumba mbele za \nd Bwana\nd*, la sivyo, angekuwa kama Kora na wafuasi wake. \¬v \¬p