\p \v=41 \v~=Siku iliyofuata jumuiya yote ya Kiisraeli wakanungʼunika dhidi ya Mose na Aroni, wakisema, “Mmewaua watu wa \nd Bwana\nd*.” \¬v \¬p