\v=5 \v~=Kisha akamwambia Kora na wafuasi wake wote: “Asubuhi \nd Bwana\nd* ataonyesha ni nani aliye wake na ni nani aliye mtakatifu, tena atamtaka mtu huyo aje kwake. Mtu yule ambaye atamchagua atamfanya kuja karibu naye. \¬v