\v=9 \v~=Haiwatoshi ninyi kwamba Mungu wa Israeli amewateua ninyi kutoka kusanyiko lote la Kiisraeli, na kuwaleta karibu naye mpate kufanya kazi kwenye Maskani ya \nd Bwana\nd*, na kusimama mbele ya kusanyiko ili kuwahudumia? \¬v