\v=13 \v~=Malimbuko yote ya nchi ambayo wanamletea \nd Bwana\nd* yatakuwa yenu. Kila mmoja nyumbani kwako ambaye ni safi kwa taratibu za Ibada anaweza kula. \¬v \¬p