\v=15 \v~=Kila mzaliwa wa kwanza wa mwanadamu na wa mnyama, ambaye ametolewa kwa \nd Bwana\nd* ni wenu. Lakini ni lazima mtamkomboa kila mwana mzaliwa wa kwanza na kila mzaliwa wa kwanza wa kiume wa wanyama wasio safi. \¬v