\v=16 \v~=Watakapokuwa na umri wa mwezi mmoja, ni lazima mtawakomboa kwa bei ya ukombozi iliyowekwa, kwa shekeli tano\f + \fr 18:16 \ft Shekeli tano za fedha ni sawa na gramu 55.\f* za fedha, kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, yenye uzito wa gera ishirini.\f + \fr 18:16 \ft Gera 20 ni sawa na gramu 55.\f* \¬v \¬p