\v=19 \v~=Chochote kitakachotengwa kutoka sadaka takatifu ambazo Waisraeli wanamtolea \nd Bwana\nd*, ninakupa wewe, wanao na binti zako kama fungu lenu la kawaida. Ni Agano la milele la chumvi mbele za \nd Bwana\nd* kwako na watoto wako.” \¬v \¬p