\v=24 \v~=Badala yake, ninawapa Walawi zaka zote zinazotolewa na Waisraeli kama sadaka kwa \nd Bwana\nd* kuwa urithi wao. Hiyo ndiyo sababu nimesema hivi kuhusu wao: ‘Hawatakuwa na urithi miongoni mwa Waisraeli.’ ” \¬v \¬p