\v=28 \v~=Kwa njia hii, ninyi pia mtatoa sadaka kwa \nd Bwana\nd* kutoka zaka zote mtakazopokea kutoka kwa Waisraeli. Kutoka kwenye zaka hizi, ni lazima mtoe sehemu ya \nd Bwana\nd* kwa Aroni, kuhani. \¬v