\v=20 \v~=Lakini ikiwa mtu ambaye ni najisi hakujitakasa mwenyewe, ni lazima akatiliwe mbali na jumuiya, kwa sababu ameinajisi Maskani ya \nd Bwana\nd*. Maji ya utakaso hayajanyunyizwa juu yake, naye ni najisi. \¬v