\p \v=13 \v~=Haya yalikuwa maji ya Meriba,\f + \fr 20:13 \ft Meriba maana yake Kugombana.\f* mahali pale ambapo Waisraeli waligombana na \nd Bwana\nd*, naye akajionyesha mwenyewe huko kuwa mtakatifu katikati yao. \¬v \¬p