\v=4 \v~=Kwa nini mmeileta jumuiya ya \nd Bwana\nd* kwenye jangwa hili, ili tufe humu, sisi na mifugo yetu? \¬v