\p \v=6 \v~=Mose na Aroni wakaondoka pale kwenye kusanyiko mpaka kwenye mlango wa Hema la Kukutania na kuanguka kifudifudi, nao utukufu wa \nd Bwana\nd* ukawatokea. \¬v