\p \v=9 \v~=Kwa hiyo Mose akaichukua hiyo fimbo kutoka pale ilipokuwa mbele za \nd Bwana\nd* kama alivyomwagiza. \¬v