\v=2 \v~=Ndipo Israeli akaweka nadhiri hii kwa \nd Bwana\nd*: “Ikiwa utawatia watu hawa mikononi mwetu, tutaiangamiza kabisa miji yao.” \¬v