\v=3 \v~=\nd Bwana\nd* akasikiliza ombi la Waisraeli, naye akawapa ushindi juu ya Wakanaani. Wakawaangamiza kabisa na miji yao; hivyo mahali pale pakaitwa Horma.\f + \fr 21:3 \ft Horma maana yake Maangamizi.\f* \¬v \¬p