\p \v=6 \v~=Ndipo \nd Bwana\nd* akapeleka nyoka wenye sumu katikati yao; wakawauma watu, nao Waisraeli wengi wakafa. \¬v