\v=7 \v~=Watu wakamjia Mose na kusema, “Tumetenda dhambi wakati tuliponena dhidi ya \nd Bwana\nd* na dhidi yako. Mwombe \nd Bwana\nd* ili atuondolee hawa nyoka.” Hivyo Mose akawaombea hao watu. \¬v \¬p