\p \v=12 \v~=Lakini \nd Bwana\nd* akamwambia Balaamu, “Usiende pamoja nao. Hupaswi kulaani watu hao, kwa kuwa wamebarikiwa.” \¬v \¬p