\p \v=13 \v~=Asubuhi iliyofuata Balaamu akaamka, akawaambia wakuu wa Balaki, “Rudini katika nchi yenu, kwa kuwa \nd Bwana\nd* amenikataza nisiende pamoja nanyi.” \¬v \¬p