\p \v=20 \v~=Usiku ule \nd Bwana\nd* akamjia Balaamu na kumwambia, “Kwa kuwa watu hawa wamekuja kukuita wewe, nenda nao, lakini ufanye tu lile nitakalokuambia.” \¬v \¬p